Afya
Afya ni hali ya kuwa na ustawi au kujisikia katika hali nzuri kimwili, kiroho, kiakili na kijamii.
WHO inabainisha kuwa afya ni kuwa na ustawi kimwili, kiakili na kijamii.
Aina za Afya
Afya ya kiakili, inajumuisha hisia, tabia na mitazamo ya mtu kuhusu binadamu wenzake na...