utunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

    Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi Jaman nyie mademu, wanaume...
  2. Tungo: Nipeni ushauri, mke gani nichague

    Naombeni ushauri, mke gani nichague! Niangalie uzuri, mtaani wanijue? Au anaeweza shughuli, kitandani nitulie. Au alietulia tuli, pekeangu nitanue. Ebu nipeni ushauri, leo hii nijue. Nichukue mwenye tako au mwembamba anatosha. Nichague mwenye cheko, anaeweza kunikosha. Au nichukue mnoko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…