Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi Desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya Ukonga.
Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza, sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu...