Chemba. Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake.
Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno na kusababisha asiwe rijali...