uuzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chrispino Henry

    Mikakati ya Uuzaji (Marketing Strategies) kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) Tanzania.

    Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 RC Chalamila atangaza uuzaji viwanja Mabwepande-Kinondoni

    sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Kufuatia maelekezo ya Rais wa...
  3. S

    China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

    China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani. Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha. Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za...
  4. The Watchman

    Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  5. Waufukweni

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  6. U

    Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  7. PureView zeiss

    EWURA yaonya uuzaaji petrol kwenye madumu

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa tahadhari kwa umma kutokana na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya moto yanayotokana na uhifadhi wa mafuta ya petroli kwenye vifaa visivyo salama kama madumu na chupa za plastiki. Katika taarifa hiyo, EWURA imewaonya wamiliki wa...
  8. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
  9. chamilo nicolous

    Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
  11. sangaima

    Tenda kwa madalali wa uuzaji wa maeneo na nyumba

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  12. Mzee

    Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

    Habari za hapa Jukwaani. Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni. Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi. Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio...
  13. Ibrah Goye

    Kampuni ya uuzaji wa viwanja Bagamoyo

    Habari ndugu mtanzania mwenzangu. Tunakukaribisha sana katika uwekezaji kwenye idara ya ardhi. Sisi PMG AND ASSOCIATE COMPANY LIMITED tunajihusisha na shughuli mbalimbali kama :- 👉🏿Uuzaji wa viwanja na mashamba 👉🏿Upimaji wa ardhi 👉🏿Ubunifu na usimamizi wa majengo 👉🏿Urasimishaji Na kwa maeneo...
  14. K

    Iran yaanza uuzaji silaha kimataifa

    Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13. Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha. Pia hii itakua fursa kwa...
  15. Crocodiletooth

    Rwanda yavunja rekodi uuzaji Madini nje!

    Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023. Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni 772 kutokana na mauzo ya nje ya madini. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo ambayo...
  16. Unique Flower

    Uuzaji wa mashamba

    Kwakweli naombeni matapeli madalali msinipigie ,mnasema mnauza mashamba natafuta mteja tunaanza kuzunguka tu kama pia. Tuelewane. Hii namba ni kwa ajili ya wateja sio mniharibie kazi . Ila kama kuna mteja anahitaji kiwanja na mashamba Arusha aniambie na bajeti yake ili tumtafutie .
  17. Nyani Ngabu

    Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  18. K

    Iran yaondolewa vikwazo vya uuzaji silaha na UN

    Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote. Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano. USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi...
  19. Bull Bucka

    Uuzaji wa akaunti za mitandao ya kijamii: Je, zinakidhi malengo ya soko la mnunuaji?

    Watu wengi, taasisi, na makampuni wanazidi kuhamishia shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii kila siku. Lakini kujiunga na majukwaa hayo na kukuza akaunti kutoka wafuatiliaji 0 hadi, labda tuseme 10,000, inahitaji jitihada na muda mwingi, na hilo limeacha watu wengi wakijiuliza, "je, naweza...
  20. SirMayombo

    Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

    Habari wana JF, Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini 1. Hatua gani za kufuata kisheria? 2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji? 3. Changamoto zikoje na faida? Tafadhari naomba msaada ili...
Back
Top Bottom