Habari wakuu,
Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo.
Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.
Kilichonishangaza zaidi...