Wakuu habari za siku nyingi?
Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024; Nilipeleka mahindi yangu NFRA kituo cha Kakozi,mkoa wa Songwe.
Nikaelekezwa kuwa niyachekeche...