Hongereni kwa sherehe za mwenge wa uhuru.
Tembea uone.
Huu mji upo wilaya ya Mufindi, kunakosifika kwa baridi kali sana. Baridi kweli ipo ni noma, yale maneno ya kuwa AC mnasema wawashe mufindi ni kweli bana.
Ila nimeshangaa sana watu wanakula mayai ya kuchemsha mida hii tena bar. Shikamoo...