Wakuu,
Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni
Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.
"Hakuna kituo chochote...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo.
“Asubuhi yake nilizuiwa...
ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam, tarehe 3 Februari 2022, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili.l
Taarifa kutoka Mahakama hapo na ambazo zimethibitishwa na...
Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje?
Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017.
Pia soma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.