Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameonya vikali wale wote waliovamia maeneo ya wananchi na yale ya Serikali katika Kata ya Mamire, akiwataka kuyarejesha mara moja kabla hajachukua hatua kali.
Kaganda ameweka wazi kuwa Serikali haitavumilia vitendo vya uporaji wa ardhi...