Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo ikiwaonya baadhi ya Viongozi wa vyama vya upinzani wanaotishia kuvuruga uchaguzi huo kuacha mara moja...