Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Akieleza kuhusu kauli mbiu hiyo, Faris amesema kauli mbiu hiyo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani na badala yake waendelee kuiunga mkono CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amewataka vijana wanaopata mafunzo ya ufundi katika vyuo vya VETA kutumia vyema ujuzi wao, akisisitiza kuwa ajira mtaani zinategemea zaidi ujuzi na utendaji kazi badala ya vyeti vya elimu ya juu...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Wakuu,
Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka matope.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Vijana 2,100 wakiwemo 32 wa kutoka Musoma Vijijini, walianza matembezi ya miguu kutokea Butiama hadi Mwanza siku ya Jumatano, 9.10.2024.
Matembezi haya yanafuata nyayo za matembezi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyafanya Mwaka 1967 akiunga mkono Azimio la Arusha...
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.
PIA SOMA
- Angekuwa...
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.
Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.