Kufuatia matukio ya mara kwa mara ya Wizi wa Mifugo katika Wilaya ya Rorya, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoani Mara, Mary Daniel amewataka Vijana wilayani Rorya kuacha kuvinyoshea vidole vyombo vya Dola kukomesha Vitendo hivyo badala yake na wao kuwa mstari wa mbele...