uvccm tanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 DC Muheza akabidhi Pikipiki 10 kwa UVCCM Tanga, ahamasisha Ushindi wa CCM

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan lakini pia zitumike kuhamasisha zoezi...
  2. LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omar awataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote "Ndio Chama chenye dira"

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi wa CCM watakaowasaidia kuleta maendeleo. Naye, Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa...
  3. Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga

    SHAMIRA AKABIDHI SIMU 9 NA KADI 1000 ZA UVCCM TANGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) viti vitatu Bara Shamira Mshangama amekabidhi Simu Tisa, pamoja na kadi za Uanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) 1000, Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…