Habari za mida Wana jamii, Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 29 miezi mitatu iliopita nilijigundua kua Nina uvimbe kwenye korodani kutokana na maumivu ya hapa na pale ndo kujichunguza nikagundua tatizo.
Nikaenda kwenye hospitali huzi zinazotibu magonjwa yasioambukiza nimemaliza dozi ila sijaona...