uvinza

  1. Mr Why

    Watanzania walalamikia utaratibu wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana Shauri John Bintanya

    Watanzania wanalalamikia utaratibu uliowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana aliyeibuliwa na mitandao hivi karibuni wa kufunguliwa account za bank wakidai nia yao ni kupewa kijana huyo pamoja na dada yake ili wawasaidie kwa kuwasomesha na sio...
  2. F

    Kama wewe huzami uvinza

    Nyoosha mkono juu
  3. Roving Journalist

    Dkt. Mpango aagiza kukamilika ujenzi wa Barabara ya Malagarasi - Uvinza ifikapo Machi 2025

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha anasimamia ujenzi wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lami ukamilike ifikapo mwezi Machi, 2025. Dkt. Mpango ametoa agizo hilo leo...
  4. G

    Mzungu anaetalii kwa baiskeli aanza safari Uvinza - Mpanda, kalala porini usiku, aombwa pampu kujaza tairi la gari, Nyoka aingia kwenye hema

    Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskeli yake ya kulala, Katalii nchi nyingi Afrika kama Misri, Sudan, Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na sasa yupo Tanzania. Ni katika muendeleo wa Utalii wake akituonyesha video zake, Baada ya Kigoma - Uvinza kwa sasa kaanza...
  5. Replica

    Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
Back
Top Bottom