Kino Yves, Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskeli yake ya kulala, Katalii nchi nyingi Afrika kama Misri, Sudan, Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na sasa yupo Tanzania.
Ni katika muendeleo wa Utalii wake akituonyesha video zake, Baada ya Kigoma - Uvinza kwa sasa kaanza...