Bora ofisi uwe peke ako kuliko kuwa wengi ofisi moja,kuna watu ni wategezi wa kazi jamani hapa ofisini kwangu tupo watatu,kiongozi mmoja tu katika sisi wafanyakazi watatu, yeye kiongozi kazi yake kuhakikisha mambo yanakaa sawa na huwa hafanyi usafi kiujumla,huyu mwingine sasa sijawahi muelewa...