Ukiachana na magonjwa ya kisaikolojia, kiakili, kimwili, kiroho na mengineyo mengi yale yanayozidi kubainika na kuongezeka siku hadi siku katika kizazi cha ulimwengu wa sasa; lipo gonjwa la muda mrefu, ambalo limedumu karne kwa karne. Gonjwa hili sugu ni kongwe kuliko magonjwa mengine baadhi...