Natumaini mko njema kabisa,katika pita pita zangu kwenye makitaba za kimataifa nimekutana na hii kwamba mtu alie vumbua ndege wakwanza kabisa ni mwafrika amerika 1906 alikuwa anaitwa Charles Fredrick page
Anaejua undani wastory hii anifafanulie maana mi nilijua ni wale watoto wa mchungaji...