Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa.
Kuna...
Habari wakuu,natumaini jumapili imekaa vyema kwenu.
Sasa ndugu zangu nimekuja kwenu tena,nina shida ya kupajua vyema UVUMI morogoro,naomba kwa anayepajua vyema atupe taarifa za muhimu,maana nataka niende huku kulima,sasa nataka kujua mazao gani yanatoka sana,maisha ya huko,chumba bei gani?? Na...
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani.
Tangu alipoondika Burundi, Septemba 10, 2023 kuliibuka tetesi hizo kwenye mitandao ya kijamii huku...
Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo".
Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama la kimataifa leo Jumanne.
Waziri huyo amesema silaha zote zilizomiminwa Ukraine na mataifa yote ya...
Albert Chalamila amesema hataki katiba mpya wala marekebisho yake. Ameeleza hayo akikanusha habari zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba anaunga mkono mabadiliko ya katiba.
"Wala sihitaji hiyo katiba mpya, wala sihitaji hayo marekebisho,"- amesema Chalamila.
Pia soma > Chalamila...
Hivi karibuni, habari kwamba "kwa sababu serikali ya Uganda imeshindwa kulipa madeni ya China, China itachukua uwanja pekee wa ndege wa kimataifa wa nchi hiyo Entebbe International Airport” imeenea kwa haraka kwenye mitandao ya kijamii na kuvutia ufuatiliaji mkubwa wa pande mbili za China na...
Mamlaka Nchini humo zimewakamata watu sita akiwemo Mwandishi wa Habari kwa tuhuma za kuchapisha uvumi uliodaiwa kuwa na nia ya kuanzisha ghasia.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Theoneste Nsengimana ambaye anaendesha Chaneli ya #YouTube ya Umubavu TV, ambayo mara kadhaa imekuwa ikikosoa Serikali...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Dodoma, Juni 17, 2021
A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI
Ndugu waandishi wa Habari,
Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
Yeereeeeeh!
Alipokuja bongo kuuza sura kwa kula wali maharage alishindwa kabisa kuopoa madem wakali nchini? Uvumi umeshaanza kuenea kiichosababisha ndoa ya Bill Gates kuvunjika ni kutembea na huyu demu wa miaka 36 Zhe 'Shelly' Wang mtafsiri katika foundation
yake ya Bill and Melinda Gates.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu wawili wakituhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi kwenye mitandao ya kijamii kuwa viongozi wakuu wa serikali ni wagonjwa, kinyume na Sheria ya Makosa ya Mitandao.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama?
The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni...
TEMESA inapenda kukanusha uvumi unaoenea mitandaoni kupitia video pamoja na picha zikielezea kusimama kwa huduma za vivuko katika kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza kutokana na kuwepo kwa magugu maji.
Tukio la magugu maji lilitokea siku ya tarehe 24 Desemba 2019 na magugu maji hayo...
Ule uvumi umetufundisha mambo mengi; lakini kubwa ni kuwa mashine ya kuchakatia uzushi ilichakata sana jana.. lakini leo imeshindwa kuendelea. Baada ya Rais wa Watu kutokea leo akiwa na afya njema na kufanya kitu ambacho watu walitakiwa kukidhania kingefanyika (baada ya kufanya uteuzi) basi ule...
Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe...
Katika Pitapita zangu Nimekutana na Hii.... (Bofya Kusikiliza)'Uvumi kuhusu Viza ya Kuingia Nchini Marekani'
Hawa Maafisa wa Marekani ' wamegegedua' Baadhi ya Uvumi juu ya Upatikanaji wa Viza ya kuingia kwa Trump ...na kufafanua njia sahihi ya kupata Viza hizo kwa wanaohitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.