uvumilivu wa hoja kinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unamshauri nini mtu aliekosa mawazo mapya ua fikra mbadala dhidi ya hoja mbalimbali kisiasi, kijamii au kiuchumi zinazo wasilishwa humu jukwaani?

    Kwa hekima na busara akae tu kimya na kujifunza kufuatilia kwa umakini maoni na mitazamo ya wengine, huenda akajifunza na kuongeza ufahamu na uelewa wa masula hayo muhimu yanayoweza kumsaidia huko mbeleni? Ama apumzike au kuendelea na shughuli zake nyingine, huenda akatumia muda wake vizuri kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…