Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, leo tarehe 4 Machi 2025 ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa miundombinu ya uvunaji wa maji ya mvua kupitia paa la jengo katika Shule ya Sekondari Malimbika, wilayani...