Wakuu,
Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa.
Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
Namshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi, tubaki na wagombea wawili tu
Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane wameibiwa kura, period.
Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2024, mwongozo wa uchaguzi na mwongozo...
Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama...
ali kibao
ali kibao auawa
ccm
chadema
jeshi la polisi
kuelekea 2025
maandamano ya chadema
marufuku kuandamana
polisi kuzuia maandamano
siasa tanzania
utekaji tanzania
uvunjifuwaamani
Msajili wa vyama vya Siasa amepiga Marufuku Kongamano la Chadema mkoani Mbeya lililokuwa kifanyike kesho Jumatatu.
Msajili amesema matamko ya Chadema yanaashiria uvunjifu wa Amani. Amesema kwa mfano Bavicha wanasema " Siku hiyo tutaweka hatma ya nchi yetu Tanzania kama ambavyo Vijana wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.