Mwalimu Nyerere alijenga na kuacha misingi yote ya kuinua Uchumi na kubadili maisha ya watu.
Mafisadi wanaiba, wanapora na kuacha mamilioni ya watu wakiwa masikini, vijana hawana namna ya kupata ajira kwasababu viwanda na maeneo ya kuajiri vijana yamehujumiwa.. wanafanya haya ili wao na familia...