Wakuu,
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, aliachiwa huru Jumamosi baada ya kushikiliwa kwa siku 52, baada ya upande wa mashtaka kuamua kutokata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliobatilisha kifungo chake siku ya Ijumaa.
Yoon alikamatwa Januari 15 na kufunguliwa rasmi mashtaka Januari 26...
Hapo vip!
Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya umaskini,ujinga,IQ ndogo, na asili ya kiafrika..nimesema haya kwasababu wazungu hawana hizi mambo.
Sasa...
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu.
Washiriki...
Unatarajia mtu aliyelelewa katika mazingira ya ubinafsi kuanzia nyumbani hadi shuleni atakuwa na tabia gani kama siyo ubinafsi mtupu?
Fikiri, alipokuwa mtoto, aliaminishwa kuwa nyama nzuri kama paja la kuku ni mahsusi kwa ajili ya baba. Anaweza akajenga matumaini kuwa naye atakapokuwa mkubwa...
Wakuu ! Ni matumaini yangu mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila kwa neema na kudra za Allah.
Nimeamua kuanzisha huu uzi ili niweze kusikia maoni yenu au kuweza kupata kujua ni namna gani ninaweza kupata haki yangu ya msingi hasa kwenye kipindi hiki ambapo upatikanaji wa haki...
Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Zinahakikisha utawala bora, uwazi, na uwajibikaji. Baadhi ya sifa za siasa bora ni:
Utawala Bora: Serikali inayoheshimu sheria, haki za binadamu, na demokrasia. Hii inajumuisha kuhakikisha mgawanyo wa madaraka...
Wakuu,
Unaweza kudhani kuwa nchi kubwa kama China, masuala ya rushwa yangekuwa yameshaisha lakini mambo bado yanatokota.
Hivi karibuni baadhi ya maafisa wa Marekani wameliambia gazeti la Financial Times kwamba Waziri wa Ulinzi wa China Dong Jun yupo kwenye Uchunguzi mzito kufuatia madai ya...
Maafisa wa Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uelewa wao kuhusu sheria zinazohusiana na uchaguzi ili kuepuka ushawishi wa kisiasa wa wanasiasa wanaojaribu kupotosha sheria hizo kwa maslahi yao.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani, alitoa wito huu...
Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania...
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports...
Tanzania ni nchi nzuri sana, Amani, Uhuru na Utulivu ni wa kutosha, Ila ni nchi iliojawa na viongozi wazembe sana japo ni wasomi sana
Tumekua tukiamini sana katika Uwekezaji hasa kwa Raia na Taasisi za kigeni kuliko kuwekeza na kusimamia sisi wenyewe?
Serikali haifanyi Biashara ila inatoa...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu.
Jengo la ghorofa 8 ni mwaka wa 5 sasaivi lifti yake haifanyi kazi sisi kama wapangaji tunapata tabu sana.
Nijuavyo mimi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa na meno yote mawili katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Akizungumza na...
Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda.
Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.