Wakuu mko vyede?
Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...
Pichani ni Luhaga Mpina
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge.
Dk Tulia ametoa maelekezo hayo wakati akiahirisha Bunge leo Jumanne ya Juni 4, 2024 baada ya mbunge huyo...