Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambalo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam.
Zoezi hilo limeendelea katika...
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
TAARIFA KWA UMMA
KUENDELEA KWA MATENGENEZO YA UMEME KATIKA MITAMBO YA RUVU JUU NA RUVU CHINI
23.6.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na Wananchi wa Dar es salaam na Pwani wanaohudumiwa na Mitambo ya kuzalisha maji Ruvu Juu na Ruvu...
Mheshimiwa Waziri wa Maji matatizo ya maji ya miaka kumi iliyopita yamerudi katika jiji la Dar es Salaam pamoja na kwamba hakuna taarifa ya kupungua kwa maji.
Hali ni mbaya zaidi kwa DAWASA Kimara ambapo pamoja na kupitiwa jirani na bomba kubwa kutoka Ruvu juu uhakika wa maji ni mdogo.
Hali ya...
Wakuu kwema?
Suala la mita za DAWASA limekuwa ni changamoto na kero kubwa kwetu watuamiaji, na si kwamba ni watu wachache, malalamiko ni mengi ikiwemo na kwangu mdau lakini DAWASA wanakaza shingo.
Nilishangazwa na mhudumu wa DAWASA kuona ni jambo la kawaida kwa familia ya watu watatu kuletewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.