Kuna namna ambayo inashangaza kadiri siku zinazovosonga mbele,kwa wafuatiliaji wa mambo tunaona namna ambavyo baadhi yetu(watanzania) waliokatika nafasi mbalimbali wanasahau kuwa wao ni sehemu ya jamii na lolote linalowasibu wanajamii kwa namna yoyote ile litawagusa kwa namna moja ama nyingine...
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la litakapotimia.
Katika kauli yake hii nabaini mambo 2:-
1. Ni ule ugonjwa walionao viongozi wengi wa Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.