Wakuu,
Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya hewa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TMA, Jaji Mshimbe Bakari, alitangaza msaada huo jijini Dar...