Habari,
Kumekuwa na tabia ya viongozi wengi wa kisiasa katika ngazi za mikoa (majimbo) mbalimbali kufanya marekebisho ya miundombinu ya jimbo lao wanaposikia Rais atapita maeneo yao. Viongozi hawa wamekuwa wakimwaga na kusawazisha vifusi barabarani, kufanya ukarabati wa kuzuga ili kumuaminisha...