Duniani tunapita hakuna kitakachobakia siku zote watu wema hawana maisha ukiamua kujitolea ujue maisha yako ni mafupi.
Wengi wanaachia mbuzi kula kwa urefu wa kamba kwa kuogopa kufupisha maisha watu waovu huishi maisha marefu ili wapate kuja kuhadithia yale mema ya watu wema waliyoyatenda watu...