Mfanyabiashara na mkazi wa jiji la Arusha, Patrick Swai ameangua kilio mbele ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akilalamikia halmashauri ya Monduli kushindwa kumlipa malipo yake ya sh, milioni 227.7 kwa muda wa miaka 18 baada ya kukamilisha ujenzi wa shule.
Akiongea na vyombo vya habari...