uwajibikaji polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

    Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa ya uchunguzi wa tukio ambalo lilisambazwa katika mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo (video clip) kuanzia Agosti 2, 2024 ikimwonyesha binti mmoja akifanyiwa vitendo vya ukatili. Uchunguzi uliofanyika hadi sasa umefanikisha kumpata binti...
  2. Naibu Kamishna Polisi (DCP): Wananchi Tanzania wanalifurahia jeshi lao la polisi

    "Tanzania ni miongoni mwa nchi chache katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo, askari na wananchi wana mahusiano mazuri kuliko nchi nyingine katika jumuiya hii, na wananchi wanalifurahia jeshi lao kwa namna linavyolinda maisha yao na mali zao". Naibu Kamishna wa Polisi (DCP)...
  3. ACT Wazalendo: Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela

    Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni (X) anajulikana Sativa. Mwakabela amepatikana leo tarehe 27 Juni, 2024 huko Mkoani Katavi akiwa...
  4. Polisi anayeenda kumkamata mwananchi anatakiwa kuwaje? Mwananchi anatakiwa kufanya nini ikiwa amegundua mtu huyo siyo polisi?

    Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya hivyo wanagoma kuwa waliowakamata siyo polisi. Wakati mwingine huwa inatokea wanaomkamata mtuhumiwa...
  5. Aliyemchoma Mwanamke visu 25 na kumsababisha Kifo afariki dunia akiwa chini ya ulinzi

    Mtuhumiwa anayedaiwa kusababisha kifo cha Beatrice Minja kwa kumchoma visu mara 25, Lucas Tarimo amafariki dunia akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi wakati akiendelea na matibabu katika hospitali ya Huruma iliyopo Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro. Daktari kiongozi wa Hospitali ya Huruma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…