Huwa nikikaa mtandaoni naona kila mtu analeta nyuzi eti watanzania wamelala wakati na lenyewe ni litanzania, mara gen z ya bongo hamna kitu kazi simba na yanga wakati na lenyewe lilikua kijana halikufanya kitu sasa hivi linasema vijana.
Yaani huwa nashangaa pale jitu limepigwa na maisha...
Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam.
Pia soma: Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni...
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais...
Nimekutana na post muda si mrefu kuhusu Mwijaku, nimefikiria tuanzishe kampeni hii ya kumaliza uchawa nchini na kuondoa viongozi wote ambao hawatufai. kama mtoa mada yule alivyoelekeza;
Kusoma post yake pitia hapa, tusIpoteze muda na kujaza server kueleza upya alichopost 👉 Mwijaku anajikuta...
Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,
Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu...
Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa nchi. Tabia ya viongozi kujenga umaarufu binafsi kuliko hata taifa lenyewe limezaa balaa kwenye nchi...