Ofisi za TRA Temeke zote ni jipu la kutumbuka kabisa ninafatilia kuchange tin number location kutoka Temeke kwenda Ilala huu sasa ni mwezi wa tatu tangu tarehe 19/12/2025 mpaka sasa sijapata kufanikiwa
Nilianzia ofisi kuu ya kanda Temeke Banda la Ngozi pale nikazungushwa na online nimefanya...