uwajibikaji wa polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi anayeenda kumkamata mwananchi anatakiwa kuwaje? Mwananchi anatakiwa kufanya nini ikiwa amegundua mtu huyo siyo polisi?

    Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya hivyo wanagoma kuwa waliowakamata siyo polisi. Wakati mwingine huwa inatokea wanaomkamata mtuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…