Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’.
Kwa kutokukemea kwake na kutochukua hatua inaonekana yote yanayotendeka yana baraka zake.
Kuwa, yeye ndiye...