Wadau, nilisikia miaka ya nyuma kulikuwa na mipango ya kujenga uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu hapa Dodoma, lakini hadi sasa sijasikia maendeleo yoyote makubwa.
Swali langu ni, huu uwanja unajengwa kweli au ndoto hizi ziliondoka pamoja na Mzee wetu aliyekuwa na maono hayo?
Kama kuna yeyote...
Rais Magufuli alipokuwa Uwanja wa ndege wa Dodoma tarehe 29/04/2017, aliagiza Ujenzi wa Uwanja wa mkubwa wa michezo mkoani humo unaofadhiliwa na Mfalme wa Morocco ujengwe karibu na eneo la Nane Nane mkoani Dodoma.
Aidha, Rais Dkt. Magufuli alisema kuwa anataka uwanja huo uwe mkubwa na wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.