Azam FC wameachia picha za muonekano mpya wa mabenchi ya wachezaji wa akiba, baada ya kufanyiwa maboresho.
Azam FC wameachia picha hizo saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Uwanjani hapo.
Mara ya mwisho Azam FC ilipocheza Azam Complex dhidi ya Fountain Gate...
Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao.
Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga.
Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
Wakuu sio kwa ubaya ila kiukweli nilikua sijawahi kufika chamazi na nilikua na picha nzuri tu kichwani ya maeneo ya huko. Sasa majuzi nikajikuta nimefika kutokana na shughuli zangu kunipeleka huko.
Kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana nini kilipelekea Azam kuamua kwenda kujenga uwanja kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.