Wakuu nimewaza
Kama uwanja/pitch inatumika kwa matumizi kama mikutano na matamasha kwanini pitch isichoke?
Mfano, matamasha ya kidini (waislam & wakristo) kwanini wanaruhusiwa kufanyia pale?
Uwanja unaingiza mapato makubwa wanashindwaje kumaintain mambo ya uwanja?
Je ni lini uwanja utakua...
Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April
Huu...
Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua Simba na Yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo
Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.
Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa Mkandarasi
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni...
Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini.
Moja ya eneo muhimu la uwanja ambalo limekuwa na matumizi madogo sana ni "running tracks" au eneo la kukikimbilia kwenye...
Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo?
Sasa Mimi GENTAMYCINE kabla sijakupa Jibu kwanini Taa ziko 248 kwa Ujumla wake pale Benjamin Mkapa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 π½ππππππ kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.
Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo.
Uwanja...
Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.
Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani.
Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo;
1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa
2. Kuvunjika kwa milango na...
Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama
Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali
===========
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
benjaminmkapa
giza
jana
kukatika
kukatika umeme
mechi
mkapamkapa stadium
mmoja
mzungu
salama
taifa
umekatika
umeme
utanzania
uwanjauwanjawabenjaminmkapauwanjawa taifa
wakati
yanga
Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee.
Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia...
Bwana Yesu asifiwe?
Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
FULL TIME
90' Sakho anaipaia Simba goli la tano
GOOOOOOOOO
81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi
77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo
Phiri anaipatia Simba goli la 4
73' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Beki wa Mtibwa anapata kadi ya njano ya pili na hivyo kuwa...