Wakuu sio kwa ubaya ila kiukweli nilikua sijawahi kufika chamazi na nilikua na picha nzuri tu kichwani ya maeneo ya huko. Sasa majuzi nikajikuta nimefika kutokana na shughuli zangu kunipeleka huko.
Kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana nini kilipelekea Azam kuamua kwenda kujenga uwanja kule...