uwanja wa kmc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Wanasimba wenzangu kwa mazingira yaliyoonekana Leo uwanja wa KMC kwa mtu mzima kubebwa dhahiri shahiri tusiwe sana na mategemeo ya ubingwa

    Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na...
  2. Tetesi: Uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho, timu zinazoutumia zitafute viwanja vingine

    Za ndani kabisa ni kwamba agizo imetolewa uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho kwahiyo timu zinazotumia huo uwanja zitafute viwanja vingine vya kutumia. Soma Pia: Uwanja wa KMC Complex kufungwa camera, taa na AC kabla ya Januari 2025
  3. Uwanja wa KMC Compex kufungwa taa mechi zipigwe hadi usiku

    Meneja wa uwanja wa KMC Complex Daniel Madenyeka amesema uwanja huo umeanza kufungwa taa pindi zoezi hilo litakapokamilika mechi zitaanza kuchezwa hadi muda wa usiku
  4. Uwanja wa KMC Complex kufungwa camera, taa na AC kabla ya Januari 2025

    Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC kabla ya Januari, 2025. Hivi karibuni timu ya Yanga ilitangaza kuhamia uwanja wa KMC complex kutokea...
  5. Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
  6. Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex

    Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25. Soma, Pia: Gamondi hana...
  7. N

    Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

    Habari za asubuhi waungwana! Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo. Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na...
  8. Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  9. Ushauri: Ili kuboresha huduma na usalama, uwanja wa KMC uongezewe kamera ndani ya vyumba

    Huu ni uwanja ambao uwekezaji wake ni wa kiwango cha juu sana. Nashauri uwekewe kamera nyingi sana ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ili wanaoingia wawe salama
  10. Kasoro kubwa nilizoziona katika ujenzi wa uwanja wa KMC Complex

    Pamoja na wazo jema la ujenzi wa uwanja wa KMC Complex, naomba nijikite kutoa kasoro kadhaa nilizoziona katika mradi huu. Kasoro zangu zitajikita katika maeneo yafuatayo: 1. Design 2. Gharama za matumizi 3. Ufinyu wa nafasi SEHEMU YA 1: DESIGN Ukiangalia design ya ujenzi wa uwanja huo umekaa...
  11. Vilabu mmesikia huko: Kukodi Uwanja wa KMC ni milioni 6

    Vilabu vya Tanzania ambavyo havina viwanja na kila msimu wanakodisha viwanja wakiwemo watoto wa Kariakoo Yanga SC na Simba SC ambao wamekuwa watu wakukodi viwanja kwa miaka mingi ili kutumia katika mechi zao za nyumbani. Mfano katika msimu uliopita wa 2023/2024 Yanga walitumia uwanja wa Azam...
  12. C

    Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

    Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana. Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja. Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa Simba...
  13. Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

    Yanga wamekimbia Chamazi Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Mkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa. Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna uhaba wa ardhi nchini, Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa. Mimi binafsi...
  14. Simba kuutumia uwanja wa KMC hadi kwenye derby yeye akiwa mwenyeji ina maana gani?

    Habar Wana jamvi, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu watu Kama GENTAMYCINE mnaweza kuwa na majibu kwamba Simba inaenda kutumia uwanja wa KMC hadi siku ya daby imeona uwanja wa Kwa mkapa matokeo yanasaliti au Kwa Sasa hawataki Tena makoto Nguvu wamewekeza kwenye matokeo ndani ya pitch? Kuna...
  15. Aisee uwanja wa KMC ni mzuri kuliko uwanja wa Azam

    Wapewe maua yao hawa KMC, Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa, Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…