Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo.
Biashara mbali mbali zinafanyika katika eneo hili zikiwemo za vyakula, bar, butchers, saloon nk nk lakini ukitaka kukojoa unaambiwa ni hapo...