Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa"...