Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi zinazosumbua wageni kinyume kabisa na nchi nyingi.
Nadhani uwanja una camera, ingetosha data...