Wakuu
Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa angalizo kama hawatashughulikia tatizo haraka wataufungia kwa muda mrefu. Hatua hii ni kama majibu kwa...
SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.
Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo.
Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile
Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga
Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali...
Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu.
Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti na kuanza kufanya vurugu hakikubaliwi na mtu yoyote na kwa namna yoyote ile.
Binafsi nawapongeza...
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien
Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha
Mashabiki hao wameng'oa...
Kesho kwetu ni fainali, naiona safari ya Morocco kama kila mtanzania mwenye uchungu na uzalendo na nchi hii ataomba dua na sala kwa ajili ya wachezaji wetu na nchi kwa ujumla.
Kiukweli umoja na mshikamano wa watanzania kesho ni muhimu sana kuliko wakati wowote ule, silaha zote kesho zihamishiwe...
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa.
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, mchezo bado unaendelea hadi sasa
CHAN 2024 QUALIFIERS
70’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan
⚽️ Chrispine...
Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile.
Nikikumbuka hivi karibuni:
1. Penati ya Mukwala...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan.
Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
Sisi wapenzi wa mpira tunapoenda kuangalia mpira Uwanja wowote ule kwa malipo maana yake sisi ni wateja inabidi tuheshimiwe kama wafalme kama kauli mbiu inavyosema kuwa mteja ni mfalme.
Nikizungumzia uwanja wa Taifa wa Mkapa ambao ndio uwanja mkubwa na bora kuliko vyote nchini kwakweli huduma...
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Habari wakuu,
Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
Mpaka sasa Waziri mwenye dhamana na Afya za Watanzania amethibitisha kifo cha mtu mmoja na baadhi ya watu kujeruhiwa.
Tunamshukuru Mungu japo kwa uchache huo. Vyovyote itakvyoelezwa Wahusika wawajibike, kwa namna hamasa ilivyokuwa na watu kuingia bure, ilitakiwa mageti ya kuingilia uwanjani...
Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika.
Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani.
Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.