uwanja wa vita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  2. Wakusoma 12

    Austere Malivika ni Mwandishi wa habari Jasiri sana, anaandika habari za vita vya Congo DRC akiwa uwanja wa vita

    Huyu mwamba ni zaidi ya mwanahabari, anaripoti habari za mgogoro wa Mashabiki ya Congo kwa zaidi ya miaka kumi sasa na mara zote amekuwa akirupoti matukio live akiwa na wapiganaji wa pande zote. Amekuwa ameonekena akiwa anasafiri pamoja na waasi, akiwa pamoja na wanajeshi wa serikali ya Congo...
  3. ndege JOHN

    Kwenye Uwanja wa Mapambano (Vitani) huwa kuna mawasiliano yanaendela baina ya pande mbili?

    Kwa mfano vita za waasi na majeshi ya serikali, Vita za taifa na taifa Israel na Hamas. Nazungumzia haswa pale kwenye frontline pale battle field penyewe je vita huwa live masaa 24 hakuna kumpumzika kwamba mnaingia zamu zamu wanajeshi. Ikiwa ndivyo je kwa siku za kupumzika kunakuwa na...
  4. green rajab

    Russia yasema Hezibollah wanafanya vyema kwenye uwanja wa Vita

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilisema jana Jumatano kwamba Hezbollah bado iko imara na haijapoteza uimara wake kwenye uongozi licha ya mashambulizi ya Israel, ambayo Moscow ilisema yana lengo la kuchochea mgogoro wa kivita katika Mashariki ya Kati. "Kwa mujibu wa tathmini zetu, Hezbollah...
  5. Thecoder

    Dunia ni uwanja wa vita za hatima

    Natumai mko salama. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwamba dunia ni uwanja wa vita za hatima kwahiyo kila mtu ambae yuko hapa duniani anapaswa kujua kwamba yuko vitani na swala la kushinda au kushindwa ni juu ya mtu mwenyewe. Sasa iko hivi... Kimsingi ni kwamba kila mwanadamu ambae yuko...
Back
Top Bottom