Natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyosema kwamba dunia ni uwanja wa vita za hatima kwahiyo kila mtu ambae yuko hapa duniani anapaswa kujua kwamba yuko vitani na swala la kushinda au kushindwa ni juu ya mtu mwenyewe.
Sasa iko hivi...
Kimsingi ni kwamba kila mwanadamu ambae yuko...