Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao.
Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...